Weledi Academy


Frequently Asked Questions

Bonyeza hapa kutuambia tuongeze kipi?


Kwa wale ambao mmemaliza kulipa, tunaomba mjaze taarifa zenu kwenye profile kupitia Boresha Taarifa zako

Taarifa hizi ni kama WhatsApp number ambayo tutaitumia kukuunga kwenye group la walio lipa, lakini pia taarifa kama jina lako kamili kwajili ya kutengeneza cheti chako.


Ukipata tatizo lolote ndani au kuhusu Weledi Academy, Bonyeza hapa 👈🏽 Kupata Weledi Support Code utaona namba imeandikwa kwenye herufi kubwa

Tuma io namba kwa WhatsApp kwenda namba 0754503886, kisha ambatanisha maelezo ya tatizo lako, utashughulikiwa ndani ya muda mfupi sana.