Frequently Asked Questions
2 questions
Kwa wale ambao mmemaliza kulipa, tunaomba mjaze taarifa zenu kwenye profile kupitia Boresha Taarifa zako
Taarifa hizi ni kama WhatsApp number ambayo tutaitumia kukuunga kwenye group la walio lipa, lakini pia taarifa kama jina lako kamili kwajili ya kutengeneza cheti chako.
Ukipata tatizo lolote ndani au kuhusu Weledi Academy, Bonyeza hapa 👈🏽 Kupata Weledi Support Code utaona namba imeandikwa kwenye herufi kubwa
Tuma hiyo namba kwa WhatsApp kwenda namba 0754503886, kisha ambatanisha maelezo ya tatizo lako, utashughulikiwa ndani ya muda mfupi sana.
Chichi AI Assistant
Your personal learning assistant on Weledi
Chichi ni msaidizi wa AI wa Weledi Academy. Anaweza kukusaidia kupata courses, tutors, documents, na hata kulipa moja kwa moja kwenye chat. Fikiria kama mtu anayejua kila kitu kuhusu Weledi na yuko tayari kukusaidia 24/7. Jaribu Chichi sasa
Chichi anaweza: kutafuta courses na kukusaidia ku-enroll, kupata tutors na ku-book sessions, kutafuta documents na premium books, ku-process malipo ya courses na documents moja kwa moja kwenye chat, kukupa personalized recommendations, kuangalia calendar yako na bookings, na kutengeneza support ticket ukihitaji msaada.
Ndiyo, ni salama. Chichi anatumia mfumo ule ule wa mobile money (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa) unaotumika kwenye platform nzima. Ukitoa namba yako ya simu, unapata USSD prompt kwenye simu yako na wewe ndiye unayeingiza PIN yako. Chichi haioni PIN yako wala kuihifadhi.
Chichi ni msaidizi wa bure kwa watumiaji wote wa Weledi. Anasaidia ku-navigate platform, kupata courses, tutors, na kujibu maswali kuhusu account yako. Kwa kujifunza somo, jiunge na course au book tutor.
Ndiyo, mazungumzo yako yanahifadhiwa ili kuboresha huduma na kukupa personalized recommendations. Hatushiriki taarifa zako za kibinafsi (email, namba ya simu) na watumiaji wengine. Soma zaidi kwenye Terms of Use na Privacy Policy.